Kampuni ya Realme inamilikiwa na kampuni moja ambayo inamiliki simu za Vivo na Oppo ambayo inajulikana kwa jina la BBK Electronics Kampuni hii ni kubwa na ina chapa nyingi ambazo zinajihusisha moja kwa moja na bidhaa za kiteknolojia na nyingi zinafanya vizuri. Simu za Realme zimetangazwa kufikia malengo yake makubwa na hii ni baada ya […]
The post Realme Imesafirisha Simu Milioni 200. Nyingi Zikiwa Ni Nje Ya China Mpaka Sasa! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.