Quantcast
Channel: TeknoKona Teknolojia Tanzania
Browsing latest articles
Browse All 20 View Live

WhatsApp Kuja Na Uwezo Wa Ku’Log In Kwa Kutumia Barua Pepe (Email)!

WhatsApp bado inazidi kujiimarisha kabisa kwa kuhakikisha kuwa hakuna sababu ambayo itawafanya watumiaji wake kukosa huduma hiyo. WhatsApp inazidi kujiimarisha na kwa sasa imeweka nia yake ya kuja na...

View Article



YouTube Inakifanyia Majaribio Kipengele Cha ‘Play Something’ Katika Mtandao Huo!

YouTube ni moja kati ya mitandao ya kijamii yenye umaarufu mkubwa na inajihusisha zaidi na maswala ya video Ni wazi kwamba mara nyingi unakua katika mtandao wa YouTube (umezubaa tuu) na hujui kitu cha...

View Article

GTA 6 Inatoka Hivi Karibuni: Tunayajua Haya Kwa Sasa!

Rockstar Games Inc ndio inamiliki gemu la GTA na mengine mengi, gemu hizi ni moja kati ya magemu ambayo yanafanya vizuri sana katika soko. Soko la magemu ni wazi linazidi kukua siku hadi siku na gemu...

View Article

TANGAZO! TANGAZO!! TANGAZO!!! WhatsApp Iko Mbioni Kuja Na Matangazo!

Mtandao wa WhatsApp kwa muda sasa umekua ukiwashangaza wengi maana uko tofauti na mitandao mingine ambayo inamilikiwa na kampuni la Meta. Mitandao mingine yote ambayo inamilikiwa na kampuni la Meta...

View Article

Apple Wanaitoa App Ya Itunes Movie Store Na Kuiweka Katika App Ya TV!

Apple mara kwa mara wamekua wakifanya mambo kadha wa kadha yakiwa ni kati ya marekebisho ya vitu ambavyo wanaona haviko sawa. Mara kwa mara pia Apple, wamekua wakichukua maoni ya watu na wadau...

View Article


Google Imeilipa Samsung Dola Bilioni 8 Ili Kuifanya ‘Google Search’ Na ‘Play...

Google licha ya kuwa ndio mtandao namba moja unaotembelewa duniani, chini ya kapeti kuna mambo mengi yanafanywa na kampuni hiyo ili kuhakikisha kuwa wanabakia kuwa namba moja. Kuna kipindi tuliandika...

View Article

Samsung Haina Mpango Wa Kutengeneza Simu Za Kujikunja (Fold/Flip) Za Bei...

Samsung ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika swala zima la kutengeneza na kuuza simu janja. Samsung pia ndio kinara wa simu za kujikunja (fold na flip) ambapo kampuni ndio inashika usukani...

View Article

Threads Kuja Na Huduma Kama Ya Hashtags (#Tags)!

Ngoja kwanza, sio hashtags kabisa lakini vile vile huwezi sema sio hashtag maana vipengele hivi vinafanana kabisa jinsi ya utumikaji. Mtandao wa Threads umeweka wazi kabisa kwamba unakuja na kipengele...

View Article


XBox Imetimiza Miaka 22, Tujikumbushe Kidogo!

XBox ni moja kati ya kifaa cha magemu chenye watumiaji wengi na umaarufu mkubwa kabisa, kifaa hichi kinatumika na watu katika kucheza gemu. XBox inamilikiwa na kampuni ya Microsoft na imetimiza miaka...

View Article


WhatsApp Channels Zina Zaidi Ya Watumiaji Milioni 500 Kwa Mwezi!

WhatsApp ni moja kati ya mtandao wa kijamii unarahisisha mazungumzo baina ya watu na vile vile ni moja ya mtandao ambao ni maarufu na una watumiaji wengi sana. Licha ya kuwa na umaarufu mkubwa mara kwa...

View Article

Apple yaikubali teknolojia ya Ujumbe /SMS ya kisasa ya RCS kwa Watumiaji wa...

Ujio wa RCS kwa watumiaji wa iPhone. Apple imetangaza rasmi mpango wake wa kuasilia mfumo wa ujumbe utakaojumuisha uzoefu bora wa mawasiliano ya jumbe fupi kati ya simu za Android na iPhone. Mfumo huu...

View Article

Mabadiliko ya Uongozi OpenAI: Sam Altman apigwa chini. #ChatGPT

Sam Altman apigwa chini. Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI, kampuni ya ubunifu wa akili bandia nyuma ya ChatGPT, ameondolewa kwenye wadhifa wake. Uamuzi huu wa ghafla umechukua tasnia ya teknolojia kwa...

View Article

Amazon na Hyundai Kuungana Kuuza Magari Mtandaoni

Amazon na Hyundai wametangaza ushirikiano wa kimkakati ambao utajumuisha uuzaji wa magari mtandaoni. Ushirikiano huu utawawezesha wateja kununua magari ya Hyundai moja kwa moja kwenye tovuti ya...

View Article


Simu Janja Ya Oppo Find N3 Hii Hapa!

Oppo wametangaza ujio wa simu zao mpya za matoleo ya Oppo Find N ambapo toleo linakuja na simu janja za aina mbili. Majina ya simu hizo kutoka Oppo ni Foldable Find N3 na Find N3 Flip ambazo zote...

View Article

Vision Pro Ya Apple Itachelewa Zaidi Kungia Sokoni!

Kifaa hiki – Vision Pro– kilishatambulishwa kabisa na kampuni ya Apple na kuna baadhi ya watu waliochaguliwa walikijaribu kabisa kifaa hiki. Vision Pro ilitangazwa rasmi mwezi wa sita na kisha kifaa...

View Article


YouTube Kufunguka Taratibu Kwa Vivinjari Vyenye Vizuizi Vya Matangazo (Ad...

YouTube ni wazi kabisa kwamba haipatani kabisa na vizuizi vya matangazo na kwa sasa bado wanaendelea na mapambano hayo. Kumbuka kwamba kwa matangazo ni moja wapo ya njia ambayo inasababisha hata...

View Article

APPLE: MacBook Kuwa Na Uwezo Wa 5G, Kaa Kwa Kusubiri!

MacBook ni kompyuta mpakato (Laptop) kutoka Apple ambazo zina maumbo madogo ambayo yanazifanya kuweza kubebeka kwa urahisi. Ni wazi kwamba mnamo 2008 Steve jobs alikua na uwezo wa kuongezea uwezo wa 3G...

View Article


Makampuni Ya Simu Katika Soko la China #Huawei, #Vivo, #Xiaomi, #Oppo Na...

Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya kutengeneza na kuuza simu. Simu nyingi huwa zinauzika sana na mara nyingi soko hilo ni gumu maana bidhaa nyingi ambazo...

View Article

Sasa Unauwezo Wa Kushusha (Download) Reels Za Instagram!

Instagram imweka wazi kipengele hichi cha uwezo wa kushusha Reels zote ambazo zinapatikana kwa akaunti ambazo kila mtu anaweza kuziona (public accounts). Kumbuka instagram kuna akaunti za aina mbili,...

View Article

Realme Imesafirisha Simu Milioni 200. Nyingi Zikiwa Ni Nje Ya China Mpaka Sasa!

Kampuni ya Realme inamilikiwa na kampuni moja ambayo inamiliki simu za Vivo na Oppo ambayo inajulikana kwa jina la BBK Electronics Kampuni hii ni kubwa na ina chapa nyingi ambazo zinajihusisha moja kwa...

View Article
Browsing latest articles
Browse All 20 View Live




Latest Images